Tuesday, June 30, 2009
A night before his death
Social Developmental Scholar, late Prof. Haroub Miraj Othman a night before kicked the bucket, he socialised himself at the Zanzibar International Film Festival with friends, partners in the activism. In the picture, greeting to the Health Minister for Kenyan Government. (Prof. Haroub in long sleeves)
Usiku kabla ya kifo chake, Al Marhum Prof. Haroub Othman alijumuika na watu tofauti katika ufunguzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Ngome Kongwe hapa visiwani Zanzibar. Pichani akisalimiana na Waziri wa Afya, nchini Kenya.
Together we can!
My precious blog follower want me to share with you this link and absolutely we can turn our global into green. View the site and try to learn something and show your participation in this effort. Lets protect our environment!
http://globalgreenview.blogspot.com
Kwa hakika pamoja inawezekana tukiunganisha nguvu zetu na kuigeuza dunia yetu katika rangi ya kijani. Tutunze mazingira nasi yatutunze. Bofya hapo juu na usome na uunge jitihada kwa ushiriki wako.
http://globalgreenview.blogspot.com
Kwa hakika pamoja inawezekana tukiunganisha nguvu zetu na kuigeuza dunia yetu katika rangi ya kijani. Tutunze mazingira nasi yatutunze. Bofya hapo juu na usome na uunge jitihada kwa ushiriki wako.
What's happening in the Island of Zanzibar
Subscribe to:
Posts (Atom)